UVUMILIVU WA MUNGU ULIPOKUWA UKINGOJA.

Uvumilivu wa mungu ulipokuwa ukingoja, siku za nuhu Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Nakukaribisha tulitafakari Neno la Mungu, ambalo ndio pekee lenye uwezo wa kuokoa roho za watu. Ndugu yangu nataka ufahamu kuwa kuzimu inafananishwa na GEREZA kubwa sana lenye Malango na makomeo yake..Soma (Isaya 38:10 na Ayubu 17:6) utalithibitisha hilo..Haisemi mlango au komeo … Continue reading UVUMILIVU WA MUNGU ULIPOKUWA UKINGOJA.