Ikiwa sisi tuliumbwa na Mungu,Je! Mungu aliumbwa na nani?
JIBU: Tukiweza kulijibu na swali hili “Ikiwa sisi tunakula ili tuishi, Je! Mungu naye anakula nini ili aishi?”…Basi tutaweza pia kulijibu hilo linaloulizwa kirahisi. Awali ya yote ni vizuri kufahamu kuwa wazo lolote ambalo linakuja katika vichwa vyetu fahamu kuwa lilishawahi kuumbwa hapo kabla, Hivyo wakati ulipofika na kuwekwa katika kichwa chako au changu, ndipo … Continue reading Ikiwa sisi tuliumbwa na Mungu,Je! Mungu aliumbwa na nani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed