JE UNAMTHAMINI BWANA?

(Je unamthamini Bwana?) Jina la Bwana libarikiwe…Karibu tujifunze maandiko… Neno la Mungu ni Mwanga wa njia yetu ielekeayo mbinguni na Taa iongozayo miguu yetu katika safari yetu ya mbinguni. (Zab 119:105). Jambo la muhimu la kufahamu ni kuwa Mungu wetu aliyetuumba kamwe hawezi kumtumia mtu ambaye hayupo tayari..au moyo wake haupo tayari kumpokea yeye. Wakati … Continue reading JE UNAMTHAMINI BWANA?