JE WAKRISTO TUNARUHUSIWA KUSHEHEREKEA VALENTINE’S DAY?
Je wakristo tunaruhusiwa kusheherekea valentine’s day(siku ya valentine)? siku ya wapendanao? Valentine kulingana na Historia alikuwa ni kuhani wa kikatoliki aliyekuwa anaishi Rumi katika karne ya 3..Aliishi Wakati wa Utawala wa Mfalme wa Rumi, aliyeitwa Claudius wa pili…Huyu Claudia alikuwa mpagani na akatengeneza sheria za kuwazuia wakristo kufanya baadhi ya mambo…Historia inasema huyu Claudia ilifika … Continue reading JE WAKRISTO TUNARUHUSIWA KUSHEHEREKEA VALENTINE’S DAY?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed