EWE MKE! HESHIMA YAKO IPO KWA WAKWE ZAKO.

Heshima na Baraka za mwanamke uliyeolewa zipo kwa wakwe zako (hususani mama mkwe wako). Vitabu viwili vikuu vilivyoitwa kwa majina ya wanawake ni Esta, na Ruthu. Vimeitwa hivyo sio kwasababu tu Mungu anataka kupitisha ujumbe wake wa wokovu kwa kanisa, lakini pia upo ujumbe mahususi unaowahusu wanawake. Leo tutamtazama Ruthu kwa maneno machache sana. Wanawake … Continue reading EWE MKE! HESHIMA YAKO IPO KWA WAKWE ZAKO.