SALA YA ASUBUHI

Sala ya Asubuhi inapaswa iweje?..Na je kuna sala ya jioni pia? Hakuna sala rasmi ya Asubuhi iliyotungwa kwamba watu wafuate mfumo wake lakini ni wajibu wa kila mtu anayeitwa mkristo kusali..Katika kusali au kuomba kuna vitu vikuu vitatu vya kuzingatia katika sala yoyote ile.. Cha kwanza ni Shukrani, cha pili ni kupeleka mahitaji na cha … Continue reading SALA YA ASUBUHI