USHAURI KWA MWANAMKE WA KIKRISTO.
Mwanamke wa Kikristo unapaswa ujue nini? Karibu tujifunze Biblia, ambayo ndiyo mwanga wa njia zetu na Taa iongozayo miguu yetu. Ujumbe huu unakuhusu wewe binti wa Mungu ambaye pengine una bidii ya kumtafuta Mungu, karibu leo tujifunze baadhi ya mambo ambayo yatakusaidia katika safari yako ya imani, na yatakayokuongezea maarifa ya kutosha ya namna ya … Continue reading USHAURI KWA MWANAMKE WA KIKRISTO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed