JE SALA YA ROZARI TAKATIFU NI YA KIMAANDIKO?

Historia fupi ya Rozari kama inavyosomwa na kanisa katoliki.(kulingana na wakatoliki inajulikana kama Rozari takatifu) Rozari asili yake ni neno la kiingereza “rosary” lenye maana ya “bustani ya maua ya waridi”…Maua ya Rose kwa kiingereza ndio yanaitwa “waridi”..Kwahiyo bustani yake ndio inayoitwa rosary. Katika sehemu za Ulaya kuna utaratibu wa kupelekeana maua hayo ya waridi … Continue reading JE SALA YA ROZARI TAKATIFU NI YA KIMAANDIKO?