Mariamu Magdalene ni nani. Na hilo jina amelitolea wapi?

SWALI: Ndugu zangu Huyu Mariamu MAGDALENE ni nani?”..Je! Magdene ni jina la baba yake au ni Jina la ukoo wake?. JIBU:  Mariamu Magdalene( wengine wa