AMEFUFUKA KWELI KWELI.

Yesu Kristo Bwana wetu…Amefufuka kweli kweli.. Kila tukio lililokuwa linatendeka wakati wa kusulubiwa kwa Bwana Yesu, wakati wa kuzikwa kwake na wakati wa kufufuka kwake lilikuwa na makusudi maalumu na lilikuwa lina ufunuo mkubwa sana..Hakuna tukio hata moja lililokuwa linatokea kwa bahati mbaya au nje ya mpango wa Mungu. Mpaka tukio la Bwana Yesu kubeba … Continue reading AMEFUFUKA KWELI KWELI.