JUMATANO YA MAJIVU NI TENDO LA KIMAANDIKO?

Jumatano ya majivu, ni mojawapo ya mapokeo ya kanisa katoliki..ambapo Ni kipindi cha mwanzo wa mfungo wa siku 40… Siku hii yanachukuliwa “matawi na Mitende” na kuchomwa mpaka yawe jivu. Na kisha lile jivu linachukuliwa na kwenda kupakwa katika paji la uso la mwamini,  ishara kama ya msalaba. Na wakati mhudumu anampaka mwamini majivu yale … Continue reading JUMATANO YA MAJIVU NI TENDO LA KIMAANDIKO?