YA KALE YAMEPITA, TAZAMA YAMEKUWA MAPYA
2Wakorintho 5.17 “Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya”. Kuwa kiumbe mpya sio kuwa “mtu mpya”…Mtu ni yule yule isipokuwa tabia zinabadilishwa….Mtu wa tabia za asili anania mambo ya ulimwengu huu…Furaha yake ni kula na kunywa na anasa kama mnyama tu. Mnyama kamwe hawezi kufikiri kwamba … Continue reading YA KALE YAMEPITA, TAZAMA YAMEKUWA MAPYA
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed