JE! UMEFANYIKA KUWA MWANAFUNZI WA BWANA?

Kuna mambo machache ya muhimu sana ya kufahamu pindi tu unapoamua kumfuata Yesu(kuwa mwanafunzi wa Bwana)..Mambo haya ni ya muhimu sana, ingawa wengi hawayajui na hata wakiyasikia wanaziba masikio yao wasitake kuyasikia wala kuyapokea. Na mojawapo ya hayo ni “kujikana nafsi”. Kama unasema umemwamini Yesu na bado hujajikana nafsi bado unakuwa hujaokoka. Tafsiri ya kumfuata … Continue reading JE! UMEFANYIKA KUWA MWANAFUNZI WA BWANA?