Mafundisho ya ndoa, na mahusiano. Ikiwa wewe ndio kwanza unataka kuingia katika mahusiano Yapo mambo kadha wa kadha unahitaji kufahamu. Jambo la kwanza: ni lazima ujue njia sahihi ya kumpata mwenza wako, vilevile ujue wakati sahihi wa kumchagua huyo mwenza unayemtaka.. Hapa ndipo watu wengi wanapokosea, wakidhani ni yule tu anayevutia machoni huyo ndiye anayefaa, … Continue reading MAFUNDISHO YA NDOA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed