KWA HIYO NDUGU, VUMILIENI, HATA KUJA KWAKE BWANA.
Yakobo 5:7 “Kwa hiyo ndugu, vumilieni, hata kuja kwake Bwana. Tazama, mkulima hungoja mazao ya nchi yaliyo ya thamani, huvumilia kwa ajili yake hata yatakapopata mvua ya kwanza na ya mwisho. 8 Nanyi vumilieni, mthibitishe mioyo yenu, kwa maana kuja kwake Bwana kunakaribia”. Kwanini mtume huyu alifananisha kumngojea Bwana na uvumilivu na wa mkulima anayengojea … Continue reading KWA HIYO NDUGU, VUMILIENI, HATA KUJA KWAKE BWANA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed