UJIO WA BWANA YESU.

Karibu tujikumbushe machache juu ya ujio wa Bwana Yesu, jinsi utakavyokuwa. Bwana Yesu alikuja mara ya kwanza miaka ile 2,000 iliyopita…Alizaliwa na Bikira Mariamu, akasulubiwa na wayahudi, akazikwa, akafufuka baada ya siku tatu, na akapaa juu mbinguni kwa Baba…Mpaka muda huu tunapozungumza yupo mbingu za mbingu, amepokea Enzi na mamlaka yote ya mbinguni na duniani(1Timotheo … Continue reading UJIO WA BWANA YESU.