NI NANI ALIYEWAONYA KUIKIMBIA HASIRA ITAKAYOKUJA?

Shalom. Jina kuu la Mwokozi wetu Yesu Kristo, libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Mathayo 3:5 “Ndipo walipomwendea Yerusalemu, na Uyahudi wote, na nchi zote za kandokando ya Yordani; 6 naye akawabatiza katika mto wa Yordani, huku wakiziungama dhambi zao. 7 Hata alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake, aliwaambia, Enyi wazao wa nyoka, … Continue reading NI NANI ALIYEWAONYA KUIKIMBIA HASIRA ITAKAYOKUJA?