JE MOYO WAKO NI MNYOFU MBELE ZA MUNGU

Shalom, Nini kinachokufanya umfuate Yesu au uende kanisani?..Je moyo wako ni mnyofu mbele za Mungu? Katika biblia, Agano jipya tunamsoma Mchawi mmoja aliyeitwa Simoni, ambaye alikuwa akifanya uchawi, na kuwadanganya watu, mpaka watu wakaamini kuwa anatumiwa na Mungu kufanya ishara zile, na alijigamba kuwa yeye ni Mtu Mkubwa (wa Mungu)…mpaka mji wote ukadanganyika na kumwamini. … Continue reading JE MOYO WAKO NI MNYOFU MBELE ZA MUNGU