Neno I.N.R.I kwenye msalaba wa Yesu maana yake ni nini?

SWALI: Naomba kufahamu,Yale maneno yanayookana juu ya msalaba wa Bwana Yesu (I.N.R.I) yana maana gani, Nimekuwa nikiyaona kwenye picha za msalaba lakini siyaoni mahali popote kwenye biblia?. JIBU: Tukisoma kitabu cha Yohana sura ya 19 mstari wa 19-20 inasema..  “Naye Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI. 20 Basi … Continue reading Neno I.N.R.I kwenye msalaba wa Yesu maana yake ni nini?