MWACHE YESU, NDIO AWE WA  KWANZA KUKUHURUMIA.

Siku zote mwache Yesu, ndio awe wa  kwanza kukuhurumia!. Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Ni jambo la kawaida kila mmoja wetu kuijali kwanza hali yake binafsi, na si dhambi kufanya hivyo, japo hilo halitufanyi tuonekane kuwa wa maana sana mbele za Mungu.. Kuna wakati Bwana Yesu aliitisha mkutano mkubwa sana, pengine … Continue reading MWACHE YESU, NDIO AWE WA  KWANZA KUKUHURUMIA.