PASAKA NI NINI? NA JE TUNARUHUSIWA KUSHEHEREKEA?

Pasaka ni nini kibiblia?, na je tunaruhusiwa kusheherekea pasaka sisi wakristo kama wayahudi? Pasaka ni neno la Kiswahili ambalo limetokana na neno la kigiriki “pascha” ambalo tafsiri yake kwa lugha ya kiingereza ni “passover” kwa Kiswahili  ni “pita juu”. Hivyo pasaka kwa Kiswahili tunaweza kusema tafsiri yake ni “pita juu au vuka upite”. Asili ya … Continue reading PASAKA NI NINI? NA JE TUNARUHUSIWA KUSHEHEREKEA?