UKADHANI YA KUWA MIMI NI KAMA WEWE.
Nakusalimu katika jina kuu la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima.. Kwanini mara nyingine tunakuwa ni wepesi kufanya dhambi, ni wepesi kuwasengenya majirani zetu, ni wepesi kwenda kuzini, licha ya kwamba tunasema tumeokoka, au tupo karibu na Mungu, lakini bado ni wepesi kutazama picha chafu mitandaoni na kufanya masturbation…. Ni kwasababu tunamdhania … Continue reading UKADHANI YA KUWA MIMI NI KAMA WEWE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed