BASI TUENDELEE KUMJUA MUNGU,NAYE ATATUJILIA KAMA MVUA YA VULI.

Basi tuendelee kumjua mungu, naye atatujilia kama mvua ya vuli. Ndugu, mmoja aliniuliza, akasema, Ni faida gani unapata katika kumtumikia Mungu?..Nikamwambia ni nyingi tu, akasema mimi niliokoka tangu zamani, na niliamua kweli kumfuata Mungu, mpaka ikafika hatua ya mke wangu kunikimbia kutokana na hali yangu, nikawa ninamwomba Mungu sana, ninafunga, ninahudhuria semina mbalimbali, ninahudhuria maombi … Continue reading BASI TUENDELEE KUMJUA MUNGU,NAYE ATATUJILIA KAMA MVUA YA VULI.