NIMEOKOKA, ILA MUNGU NDIYE ANAYEJUA NITAKWENDA WAPI.

Je! Ni sahihi kwa mkristo kufikiria hivi?.. Jaribu kufikiria mfano huu.. Mtu mmoja alitamani sana kujua afya ya mwili wake, hivyo akakusudia kweli kwenda hospitali kupima afya yake kama ameathirika na Ukimwi au La, Hivyo  akafanikiwa kwenda kuonana na daktari akachukuliwa vipimo vyote, Lakini alipomaliza kuchukuliwa tu vipimo akaondoka zake akarudi  nyumbani kwake, daktari alipomaliza … Continue reading NIMEOKOKA, ILA MUNGU NDIYE ANAYEJUA NITAKWENDA WAPI.