SWALI: Chapa zake Yesu ni nini? Kama tunavyosoma katika Wagalatia 6:17? JIBU: Wagalatia 6:17 “Tangu sasa mtu asinitaabishe; kwa maana ninachukua mwilini mwangu chapa zake Yesu.” Kuna mambo machache ya kuzingatia hapo. 1) jambo la kwanza ni chapa 2) mahali Inapochukuliwa. Chapa ni alama..Chochote kilichopigwa chapa maana yake kimewekwa alama inayokitambulisha kitu hicho kuwa ni … Continue reading Chapa zake Yesu ni zipi hizo?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed