Je kupiga miayo ni ishara ya mapepo?

Shalom, Naomba kufahamu kitendo cha kupiga miayo mara kwa mara hususani wakati wa maombi, Je! Ishara ya kuwa na mapepo au nguvu za giza?. JIBU: Kwa namna ya kawaida kupiga miayo ni ishara ya mambo mawili makuu katika mwili, 1) Ya kwanza ni njaa, 2) Ya pili ni usingizi. Hivyo tukirudi katika masuala ya maombi … Continue reading Je kupiga miayo ni ishara ya mapepo?