Je! Bwana Yesu alibatiza akiwa hapa duniani?

Je! ni kweli Bwana Yesu alibatiza mtu akiwa hapa duniani? JIBU: Bwana Yesu yeye mwenyewe hakubatiza bali wanafunzi wake ndio waliobatiza kwa agizo lake yeye. Hata leo mkuu wa nchi akitoa agizo la ujenzi wa jengo Fulani la serikali…Jengo lile litakapojengwa na kumalizika..jengo hilo litajulikana kama limejengwa na Mkuu huyo…lakini kiuhalisia sio yeye aliyelijenga waliolijenga … Continue reading Je! Bwana Yesu alibatiza akiwa hapa duniani?