Ni kwa namna gani Yesu amewekwa kwa kuanguka na kuinuka?
SWALI: mstari huu una maana gani? Luka 2:34 “Simeoni akawabariki, akamwambia Mariamu mama yake, Tazama, huyu amewekwa kwa kuanguka na kuinuka wengi walio katika Israeli, na kuwa ishara itakayonenewa”? JIBU: Kwa faida yetu wote, ni vizuri tukaanzia mistari ya juu ili tupate ufahamu wa habari yote hiyo inamuhusu nani.. Luka 2:25 “Na tazama, pale Yerusalemu … Continue reading Ni kwa namna gani Yesu amewekwa kwa kuanguka na kuinuka?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed