ANGALIA UZURI WAKO, USIGEUKE KUWA KITANZI CHAKO.

Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima.. Karibu tuzidi kujifunza maneno matakatifu ya Mungu, Na leo tutaona kwa ufupi habari ya mtu mmoja anayeitwa Absalomu mwana wa Daudi naamini lipo jambo utajifunza ndani yake.. Huyu Absalomu alikuwa ni mmojawapo wa wana wengi wa Daudi, isipokuwa yeye alikuwa anabeba kitu kingine cha ziada ambacho … Continue reading ANGALIA UZURI WAKO, USIGEUKE KUWA KITANZI CHAKO.