MOJA YA HIZI SIKU TUTAONA MABADILIKO MAKUBWA SANA.

Kama kuna majira ambayo si ya kufanya mchezo na masuala ya wokovu wetu hata kidogo basi ni haya. Kwani moja ya hizi siku tutashuhudia mabadiliko makubwa sana na ya ghafla katika kanisa la Kristo,..wakati ambao Bwana Yesu anakwenda kuchukua hatua ambayo hakuwahi kuichukua tangu aondoke hapa duniani.. Na hatua yenyewe ni Kuingia na kuufunga mlango … Continue reading MOJA YA HIZI SIKU TUTAONA MABADILIKO MAKUBWA SANA.