Chukua tahadhari juu ya neema ya Mungu. Hakuna ulinzi mkubwa ambao mwanadamu anaweza kuupata kama ulinzi wa kuwa ndani ya Yesu..Kama wengi wetu tunavyojua au tulivyosikia kwamba watu wote waliompokea Yesu Kristo uhai wao unakuwa umefichwa pamoja na Kristo.(Wakolosai 3:3). Kiasi kwamba tunalindwa dhidi ya nguvu za giza na mipango yote ya Ibilisi. Wengi wetu … Continue reading TAHADHARI YA NEEMA YA MUNGU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed