Mahuru ndio nini?

SWALI: Mahuru ndio nini? Kama Bwana alivyosema katika Mathayo 17:26, Na ni jambo gani tunajifunza pale? JIBU: Tusome; Mathayo 17:25 “Naye alipoingia nyumbani, Yesu alitangulia kumwuliza, akisema, Waonaje, Simoni? Wafalme wa dunia hutwaa kodi ama ushuru kwa watu gani? Kwa wana wao au kwa wageni? 26 Naye aliposema, Kwa wageni, Yesu alimwambia, Basi, kama ni … Continue reading Mahuru ndio nini?