NI WAPI MAHALI SAHIHI PA KULIPA ZAKA?

Shalom karibu tujifunze Biblia, kwasababu Neno la Mungu ndio mwanga wa njia zetu na taa iongozayo miguu yetu. Ni wapi mahali sahihi pa kulipa zaka je ni kanisani, au kwa mayatima au kwa wajane?..Hili ni swali linaloulizwa na wengi..Leo kwa neema za Bwana tutajifunza.. Andiko linalofahamika na wengi wetu lihusulo mahali sahihi pa kulipa zaka … Continue reading NI WAPI MAHALI SAHIHI PA KULIPA ZAKA?