Je! habari ya Yusufu, inabeba ujumbe gani kwa agano jipya?

SWALI: Habari mtumishi, naomba kujifunza habari hii ya kwamba, agano la kale ni kivuli cha agano jipya.., sasa ile habari ya Yusufu ilikua ina ufunuo gani kwa agano jipya? JIBU: Ni kweli kabisa agano la kale ni kivuli cha mambo yanayoendelea katika agano jipya biblia inatuambia hivyo katika (Waebrania 10:1, Wakolosai 2:17)… Kwa msingi huo … Continue reading Je! habari ya Yusufu, inabeba ujumbe gani kwa agano jipya?