Nini maana ya Kuota unatembea juu ya maji ?. Kama tunavyojua stori ya mtu mmoja katika biblia ambaye alirekodiwa kutembea juu ya maji, ni Bwana wetu Yesu Kristo peke yake. Lakini swali la kujiuliza, ni kwanini aamue kufanya vile? Kulikuwa na umuhiimu gani wa yeye usiku ule kutembea juu ya maji? Je, ni kwasababu alikuwa … Continue reading KUOTA UNATEMBEA JUU YA MAJI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed