NA MTU MMOJA AKAVUTA UPINDE KWA KUBAHATISHA, AKAMPIGA MFALME
Shalom, karibu tujifunze maandiko katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Leo tutajifunza jambo lingine ambalo kila mmoja wetu anapaswa kujua ni kwa nini tunapaswa tuihubiri injili wakati wote bila kujali ni nani tunayempelekea ujumbe huo. Ukisoma Habari za wafalme katika biblia, utakutana na mfalme mmoja ambaye alimuudhi Mungu kwa viwango vya juu sana, … Continue reading NA MTU MMOJA AKAVUTA UPINDE KWA KUBAHATISHA, AKAMPIGA MFALME
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed