Wewe u nabii yule akajibu la!..swali huyu ‘nabii yule’ ni nani?

SWALI: Ukisoma Yohana 1:19-26 inaelezea habari za Yohana mbatizaji akijitambulisha yeye ni nani! Napata shida katika mstari wa 21, alipoulizwa ” wewe