Wewe u nabii yule akajibu la!..swali huyu ‘nabii yule’ ni nani?
SWALI: Ukisoma Yohana 1:19-26 inaelezea habari za Yohana mbatizaji akijitambulisha yeye ni nani! Napata shida katika mstari wa 21, alipoulizwa ” wewe u nabii yule” akajibu la!. Huyu nabii yule, ambaye wayahudi walimtegemea kuja, ni nani? Maana Yohana alishaulizwa kama yeye ni KRISTO, au ELIYA mwanzoni na akakanusha kuwa yeye si hao…Sasa huyu nabii yule … Continue reading Wewe u nabii yule akajibu la!..swali huyu ‘nabii yule’ ni nani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed