Je! Ule mwiba uliokuwa katika mwili wa Paulo ulikuwa ni nini?

JIBU: Tusome 2Wakorintho 12:7 “Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi, kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili, mjumbe wa Shetani ili anipige, nisije nikajivuna kupita kiasi. 8 Kwa ajili ya kitu hicho nalimsihi Bwana mara tatu kwamba kinitoke. 9 Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu.” Kumekuwa na mtazamo … Continue reading Je! Ule mwiba uliokuwa katika mwili wa Paulo ulikuwa ni nini?