OLE WAO WANAOJITAHIDI KUMFICHA BWANA MASHAURI YAO.

Jina la Bwana Yesu libarikiwe ndugu yangu..Karibu tuyatafakari kwa pamoja maneno ya uzima, Biblia inasema.. Isaya 29:15 “Ole wao wanaojitahidi kumficha Bwana mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye?. Mungu hapa anatupa onyo sisi tunaodhani kuwa kwa nguvu zetu wenyewe tunajitosheleza kuyaendesha maisha yetu,..tunasema hakuna haja ya Mungu … Continue reading OLE WAO WANAOJITAHIDI KUMFICHA BWANA MASHAURI YAO.