MASHAHIDI 40 WALIOUAWA MJINI SEBASTE, NI UJUMBE KWETU.

Ilikuwa ni mwaka wa 320, wakati wa utawala wa mfalme Licinius wa Rumi, Kumbuka zamani hizo Rumi ndiyo iliyokuwa inatawala karibu dunia nzima wakati¬† huo na ndio iliyokuwa kichwa cha mbele kuwatesa na kuwaua wakristo ulimwenguni kote, Sasa huyu alikuwa ni mpagani, ambaye hakutaka kusikia Imani yoyote ya Kikristo. Lakini upande wa pili kulikuwa na … Continue reading MASHAHIDI 40 WALIOUAWA MJINI SEBASTE, NI UJUMBE KWETU.