NEEMA YA MZALIWA WA PILI.

Kuna nguvu katika mzaliwa wa pili. Shalom, jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Biblia inasema Israeli ni Mzaliwa wa kwanza wa Mungu.. Kutoka 4: 22 “Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni MWANANGU MIMI, MZALIWA WA KWANZA WANGU; 23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; … Continue reading NEEMA YA MZALIWA WA PILI.