Kwanini Bwana alirejea Tiro na Sidoni kwa mfano wa Sodoma?

SWALI: Kwanini Bwana Yesu aliitaja Tiro na Sidoni, kwamba kama ingeliona miujiza ile aliyoifanya kule Bethsaida ingalitubu kwa kuvaa magunia na majivu. Kwani miji hii ilikuwa ni ya namna gani, na ilifanya kosa gani? JIBU: Tusome.. Mathayo 11:21 “Ole wako, Korazini! Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, … Continue reading Kwanini Bwana alirejea Tiro na Sidoni kwa mfano wa Sodoma?