Tofauti kati ya kuungama na kutubu ni ipi?
Kuungama kunakwenda sambamba na kutubu. Kuungama ni kitendo cha kukiri, au kukubali makosa yako kuwa wewe ni mwenye dhambi au ulikosa na hivyo unahitaji kusamehewa. Mathayo 3:5 “Ndipo walipomwendea Yerusalemu, na Uyahudi wote, na nchi zote za kandokando ya Yordani;6 naye akawabatiza katika mto wa Yordani, huku wakiziungama dhambi zao”. Matendo 19:17 “Habari hii ikajulikana … Continue reading Tofauti kati ya kuungama na kutubu ni ipi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed