USITOKE NJE YA HIFADHI YA MUNGU.
Bwana Yesu sehemu nyingi aliifananisha baadhi ya mifumo ya maisha yetu na ufalme wa mbinguni…Kwamfano utaona alisema ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta lulu nzuri; naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua (Mathayo 13:45). Maana yake ni kwamba injili au Neno la Mungu pia limeandikwa katikati … Continue reading USITOKE NJE YA HIFADHI YA MUNGU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed