Rafiki wa kweli ni mmoja tu naye ni YESU..Leo tutatazama ni kwanini!. Ni rahisi kujitoa kwa ndugu yako wa damu, kujitoa kwa mali na hali….hata wakati mwingine kujitoa hata uhai kwaajili ya ndugu yako wa damu, hilo linawezekana pia…Ndio, wengi wapo radhi wafe ili watoto wao waishi, wapo radhi wao wapitie shida nyingi na dhiki … Continue reading RAFIKI WA KWELI NI YUPI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed