Kuhutubu ni nini?

Kuhutubu linatoka na neno “kuhutubia”… ambalo chanzo chake ni “HOTUBA”.  Hotuba ni maneno yaliyoandaliwa ambayo mtu anaweza kuyazungumza mbele ya kadamnasi ya kuwafaa…yanaweza kuwa ya kimaendelea au ya kimikakati. Tukirudi katika biblia….Kuhutubu ni tofauti na kuhutubu kwa watu wa kiulimwengu… Watu wa ulimwengu watahutubia mikakati ya kiulimwengu…lakini watu wa Mungu watahutubia maneno ya Mungu, wakiongozwa … Continue reading Kuhutubu ni nini?