NYAKATI HIZI NI ZA MWISHO, HII DUNIA INAKWENDA KUISHA.

Isaya 24:19 “Dunia kuvunjika, inavunjika sana; dunia kupasuka, imepasuka sana; dunia kutikisika, imetikisika sana. 20 Dunia inalewa-lewa kama mlevi, nayo inawaya-waya kama machela; na mzigo wa dhambi zake utailemea; nayo itaanguka, wala haitainuka tena”. Shalom, Hii dunia yetu imefananishwa na mlevi wa kupindukia.. Mlevi ni mtu ambaye ameshapoteza uwezo wake wa kuji-control, yaani akili yake … Continue reading NYAKATI HIZI NI ZA MWISHO, HII DUNIA INAKWENDA KUISHA.