MADHARA YA KUTOA MIMBA.

Madhara ya kutoa mimba rohoni. Licha ya kwamba yapo madhara mengi ya mwilini mtu atakayoyapata kwa kutoa mimba, hata wakati mwingine kukumbwa na mauti au kuharibika kwa kizazi kabisa, lakini yapo madhara mengine ya rohoni ambayo ni makubwa zaidi ya hayo mtu atayapata ikiwa atajaribu kikifanya kitendo hicho ..Haijalishi atafanikiwa kutoa mimba mara nyingi kiasi … Continue reading MADHARA YA KUTOA MIMBA.