Kwanini Mungu anasema “Afanyaye malaika zake kuwa pepo”?
SWALI: Waebrania 1:7 “Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto”..Je Mungu anawageuza malaika zake kuwa mapepo? JIBU: Ndio! Wale malaika walioasi mbinguni waligeuka na kuwa mapepo baada ya kutupwa duniani, ndio haya yanayowasumbua wanadamu leo. Lakini mstari huo hapo juu hauzungumzii roho za malaika … Continue reading Kwanini Mungu anasema “Afanyaye malaika zake kuwa pepo”?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed